Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 30,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 219.26 na kuuzwa kwa shilingi 221.39 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.54 na kuuzwa kwa shilingi 135.82.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 30, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2444.44 na kuuzwa kwa shilingi 2469.81.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2763.09 na kuuzwa kwa shilingi 2791.65 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.13 na kuuzwa kwa shilingi 2.10.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.63 na kuuzwa kwa shilingi 18.79 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.60 na kuuzwa kwa shilingi 631.68 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.42 na kuuzwa kwa shilingi 148.73.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.41 na kuuzwa kwa shilingi 2320.38 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7503.45 na kuuzwa kwa shilingi 7568.10.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.18 na kuuzwa kwa shilingi 17.35 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 330.00 na kuuzwa kwa shilingi 333.20.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 30th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.6041 631.6881 628.6461 30-Dec-22
2 ATS 147.4246 148.7308 148.0777 30-Dec-22
3 AUD 1542.7081 1558.5993 1550.6537 30-Dec-22
4 BEF 50.2879 50.7331 50.5105 30-Dec-22
5 BIF 2.1996 2.2162 2.2079 30-Dec-22
6 CAD 1691.3833 1707.7943 1699.5888 30-Dec-22
7 CHF 2484.2192 2507.9766 2496.0979 30-Dec-22
8 CNY 330.0017 333.2013 331.6015 30-Dec-22
9 DEM 920.5457 1046.3946 983.4702 30-Dec-22
10 DKK 328.7832 332.0426 330.4129 30-Dec-22
11 ESP 12.1924 12.2999 12.2461 30-Dec-22
12 EUR 2444.4399 2469.8125 2457.1262 30-Dec-22
13 FIM 341.1854 344.2088 342.6971 30-Dec-22
14 FRF 309.2608 311.9964 310.6286 30-Dec-22
15 GBP 2763.0902 2791.6492 2777.3697 30-Dec-22
16 HKD 294.7886 297.7136 296.2511 30-Dec-22
17 INR 27.7303 27.9891 27.8597 30-Dec-22
18 ITL 1.0477 1.057 1.0523 30-Dec-22
19 JPY 17.1769 17.3473 17.2621 30-Dec-22
20 KES 18.6327 18.7885 18.7106 30-Dec-22
21 KRW 1.8136 1.8288 1.8212 30-Dec-22
22 KWD 7503.4488 7568.1018 7535.7753 30-Dec-22
23 MWK 2.0884 2.2266 2.1575 30-Dec-22
24 MYR 519.7751 524.1427 521.9589 30-Dec-22
25 MZM 35.3992 35.6982 35.5487 30-Dec-22
26 NLG 920.5457 928.7092 924.6275 30-Dec-22
27 NOK 232.0659 234.3037 233.1848 30-Dec-22
28 NZD 1449.8929 1465.3199 1457.6064 30-Dec-22
29 PKR 9.6402 10.222 9.9311 30-Dec-22
30 RWF 2.1352 2.1912 2.1632 30-Dec-22
31 SAR 611.5001 616.9583 614.2292 30-Dec-22
32 SDR 3057.3879 3087.9617 3072.6748 30-Dec-22
33 SEK 219.2642 221.3871 220.3256 30-Dec-22
34 SGD 1704.1807 1720.5843 1712.3825 30-Dec-22
35 UGX 0.5945 0.6238 0.6091 30-Dec-22
36 USD 2297.406 2320.38 2308.893 30-Dec-22
37 GOLD 4151917.964 4193808.4044 4172863.1842 30-Dec-22
38 ZAR 134.5361 135.8163 135.1762 30-Dec-22
39 ZMW 123.3251 128.2687 125.7969 30-Dec-22
40 ZWD 0.43 0.4386 0.4343 30-Dec-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news