Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba, amekabidhiwa ofisi rasmi na Gavana Mstaafu, Prof. Florens Luoga leo jijini Dodoma. Tukio hilo limeshuhudiwa na Manaibu Gavana, Bw. Julian Banzi Raphael (kushoto) na Bi. Sauda Kassim Msemo (kulia).