NA MWANDISHI WETU
KIKAO cha Tisa cha Kamati ya Ushauri ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa ajili ya kupitia baadhi ya ripoti za matokeo ya Sensa zilizokamilika kabla ya kuzinduliwa kimekutana.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Utatibu) Dkt. John Jingu akiongoza kikao cha 9 cha Kamati ya Ushauri ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa ajili ya kupitia baadhi ya ripoti za matokeo ya Sensa zilizo kamilika kabda ya kuzinduliwa. Kikao hiki kilipitia na kujadili machapisho ya Sensa na kuwasilisha kwenye Kamati Kuu ya Sensa. Kikao kilifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Dar es Salaam tarehe 29 Januari, 2023.
Kikao hiki kilipitia na kujadili machapisho ya Sensa na kuwasilisha kwenye Kamati Kuu ya Sensa. Kikao kilifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Dar es Salaam leo Januari 29, 2023.
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha 9 cha Kamati ya Ushauri ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa ajili ya kupitia baadhi ya ripoti za matokeo ya Sensa zilizo kamilika kabda ya kuzinduliwa wakifuatilia kikao hicho kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Hassan Abbas akizungumza kuhusu sekta yake wakati wa kikao hicho.
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Mhe.Anne Makinda akizungumza wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu sekta ya Mifugo, Bw.Tixon Nzunda akizungumza wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Zainab Chaula akiuliza swali wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Bw. Seif Shaaban akifafanua jambo wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amani Zanzibar Bw. Khamis Said akizungumza wakati wakikao hicho.(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU).