Mheshimiwa Ummy Mwalimu kukutana na viongozi wa dini,wawakilishi wa makundi ya wazee kujadili muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote
Waziri wa Afya, Mheshimiwa Ummy Mwalimu atakuwa na mkutano wa viongozi wa dini na wawakilishi wa makundi ya wazee kuhusu muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote tarehe 27 Januari,2023.