Mkurugenzi Mkuu wa REA aongoza kikao cha Menejimenti kujadili bajeti ya matumizi kwa mwaka 2023/2024

NA MWANDISHI WETU

MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, leo Januari 18, 2023 ameongoza kikao cha Menejimenti kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24.
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, akisisitiza jambo wakati wa kikao cha Menejimenti kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24. Kikao hicho kimefanyika leo, Januari 18, 2023 jijini Arusha ikiwa ni maandalizi ya kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wakala hiyo kitakachofanyika Januari 20, 2023.
Sehemu ya Wajumbe wa Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakiwa kwenye kikao kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24. Kikao hicho kimefanyika leo, Januari 18, 2023 jijini Arusha ikiwa ni maandalizi ya kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wakala hiyo kitakachofanyika Januari 20, 2023.
Sehemu ya Wajumbe wa Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakiwa kwenye kikao kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24. Kikao hicho kimefanyika leo, Januari 18, 2023 jijini Arusha ikiwa ni maandalizi ya kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wakala hiyo kitakachofanyika Januari 20, 2023.
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, akifafanua jambo wakati wa kikao cha Menejimenti kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24. Kikao hicho kimefanyika leo, Januari 18, 2023 jijini Arusha ikiwa ni maandalizi ya kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wakala hiyo kitakachofanyika Januari 20, 2023.
Sehemu ya Wajumbe wa Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakiwa kwenye kikao kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24. Kikao hicho kimefanyika leo, Januari 18, 2023 jijini Arusha ikiwa ni maandalizi ya kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wakala hiyo kitakachofanyika Januari 20, 2023. (Picha zote na VERONICA SIMBA-REA).

Kikao hicho kimefanyika jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wakala hiyo kitakachofanyika Januari 20, 2023. Wakala umedhamiria kuendelea na utekelezaji wa miradi ya kusambaza nishati vijijini ikiwemo nishati ya kupikia.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news