NA DIRAMAKINI
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeeleza kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na Shirika la Ndege la Uholanzi (KLM) ya kuwepo kwa hali ya hatari nchini na kusitisha safari zake zilizopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam,Kilimanjaro na Zanzibar.
KLM kupitia taarifa waliyoitoa Januari 27,2023 katika tovuti yao walitahadharisha abiria wake na kueleza kusitisha safari katika viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Dar-es-Salaam (JNIA), Kilimanjaro (KIA) na Zanzibar.
Aidha, kupitia taarifa iliyotolewa Januari 28, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amekanusha taarifa hizo akisema hazina msingi wowote...Endelea;