Shirika la Ndege la Uholanzi (KLM) laiomba Tanzania radhi kwa kupotosha kuhusu hali ya usalama

NA DIRAMAKINI

BAADA ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kueleza kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na Shirika la Ndege la Uholanzi (KLM) ya kuwepo kwa hali ya hatari nchini na kusitisha safari zake zilizopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam,Kilimanjaro na Zanzibar, KLM imeomba radhi

KLM kupitia taarifa waliyoitoa Januari 27,2023 katika tovuti yao walitahadharisha abiria wake na kueleza kusitisha safari katika viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Dar-es-Salaam (JNIA), Kilimanjaro (KIA) na Zanzibar.

Aidha, kupitia taarifa iliyotolewa Januari 28, 2023 na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa alikanusha taarifa hizo akisema hazina msingi wowote

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news