Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 3, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.62 na kuuzwa kwa shilingi 631.70 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.43 na kuuzwa kwa shilingi 148.73.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 3, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2453.45 na kuuzwa kwa shilingi 2478.91.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2768.43 na kuuzwa kwa shilingi 2797.05 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.13 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.63 na kuuzwa kwa shilingi 18.79 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.45 na kuuzwa kwa shilingi 2320.43 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7512.44 na kuuzwa kwa shilingi 7585.09.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.57 na kuuzwa kwa shilingi 17.74 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.09 na kuuzwa kwa shilingi 336.29.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 219.59 na kuuzwa kwa shilingi 221.36 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 135.28 na kuuzwa kwa shilingi 136.56.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 3rd, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.6176 631.7018 628.6597 03-Jan-23
2 ATS 147.4278 148.734 148.0809 03-Jan-23
3 AUD 1560.6615 1577.6604 1569.1609 03-Jan-23
4 BEF 50.289 50.7342 50.5116 03-Jan-23
5 BIF 2.1997 2.2163 2.208 03-Jan-23
6 CAD 1694.7886 1710.6008 1702.6947 03-Jan-23
7 CHF 2486.9619 2511.0161 2498.989 03-Jan-23
8 CNY 333.0998 336.2942 334.697 03-Jan-23
9 DEM 920.5656 1046.4171 983.4913 03-Jan-23
10 DKK 329.9661 333.2323 331.5992 03-Jan-23
11 ESP 12.1926 12.3002 12.2464 03-Jan-23
12 EUR 2453.4527 2478.9153 2466.184 03-Jan-23
13 FIM 341.1928 344.2162 342.7045 03-Jan-23
14 FRF 309.2675 312.0031 310.6353 03-Jan-23
15 GBP 2768.4338 2797.0464 2782.7401 03-Jan-23
16 HKD 294.3795 297.3119 295.8457 03-Jan-23
17 INR 27.7588 28.0178 27.8883 03-Jan-23
18 ITL 1.0477 1.057 1.0524 03-Jan-23
19 JPY 17.5687 17.743 17.6558 03-Jan-23
20 KES 18.6331 18.7889 18.711 03-Jan-23
21 KRW 1.8094 1.8238 1.8166 03-Jan-23
22 KWD 7512.4434 7585.0876 7548.7655 03-Jan-23
23 MWK 2.0804 2.2506 2.1655 03-Jan-23
24 MYR 522.149 526.1746 524.1618 03-Jan-23
25 MZM 35.3999 35.6989 35.5494 03-Jan-23
26 NLG 920.5656 928.7292 924.6474 03-Jan-23
27 NOK 233.384 235.5408 234.4624 03-Jan-23
28 NZD 1452.9108 1468.8322 1460.8715 03-Jan-23
29 PKR 9.6404 10.2222 9.9313 03-Jan-23
30 RWF 2.133 2.1888 2.1609 03-Jan-23
31 SAR 611.2693 617.2177 614.2435 03-Jan-23
32 SDR 3057.4537 3088.0283 3072.741 03-Jan-23
33 SEK 219.5979 221.561 220.5794 03-Jan-23
34 SGD 1712.0914 1728.5682 1720.3298 03-Jan-23
35 UGX 0.5924 0.6216 0.607 03-Jan-23
36 USD 2297.4554 2320.43 2308.9427 03-Jan-23
37 GOLD 4195957.753 4239657.653 4217807.703 03-Jan-23
38 ZAR 135.2853 136.5577 135.9215 03-Jan-23
39 ZMW 123.4644 128.2006 125.8325 03-Jan-23
40 ZWD 0.43 0.4386 0.4343 03-Jan-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news