JANUARI 19, 2023 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA), Ali Abdalla Ali amefanya mkutanao na waandishi wa habari kuzungumzia kuhusiana na utekelezaji wa kazi za ZAECA mwezi Septemba hadi Disemba, 2022.
Mkutano huo umefanyika katika ofisi za ZAECA zilizopo Kilimani Mnara wa Mbao jijini Zanzibar.