Balozi wa Ureno nchini awasilisha hati ya utambulisho kwa Rais Dkt.Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ureno Antonio Manuel Coelho Da Costa Moura, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.(Picha na Ikulu).