“Ngoja niweke wazi. Hii itakuwa mara yangu ya mwisho kufanya mabadiliko madogo kwa sababu ya kutoelewana miongoni mwa viongozi katika wizara hiyo hiyo. Sitavumilia hili na pale ambapo kutakuwa na mkanganyiko nitalazimika kuwashusha nyote …namaanisha Waziri, Naibu na Makatibu Wakuu."