Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizindua Matembezi ya Mbio za Marathon za Kilomita 10 na Kilomita 5. Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizoazia katika viwanja vya Forodhani na kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya Mjini Unguja.
Washiriki wa Mbio za Marathon kilimota 5 za Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar wakiaza mbio hizo katika viwanja vya Forodhani Unguja jijini Zanzibar, baada ya kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation ambaye ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi, na kumalizikia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezaji Muembekisonge leo Februari 12,2023. (Picha na Ikulu).
Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation ambaye ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi akiongoza matembezi ya Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyoazia katika viwanja vya Forodhani Unguja na kumalizikia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwake) ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma, Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kushoto kwake) ni Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mama Zainab Kombo Shaib, Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe.Hassan Khamis Hafidh.
Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation ambaye ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia wananchi katika mitaa ya Shangani Mji Mkongwe Unguja wakati akiongoza Matembezi ya Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yalioazia katika viwanja vya Forodhani na kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo,kulia kwake ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe.Prof.Ibrahim Juma na kushoto kwake ni Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mama Zainab Kombo Shaib na Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.
Mke wa Rais wa Zanzibar ambaye ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation, Mama Mariam Mwinyi akiongoza matembezi ya Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyoazia katika viwanja vya Forodhani Unguja na kumalizikia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja na kulia kwake ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali na kushoto kwake ni Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mama Zainab Kombo Shaib, Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.
Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi akishiriki katika mazoezi ya viungo katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Unguja na (kulia kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib, wakishiriki katika mazoezi ya pamoja ya viungo,baada ya kumaliza kwa Matembezi ya Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyoazia katika viwanja vya Forodhani Unguja na kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja leo.
Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation ambaye ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi akishiriki katika mazoezi ya viungo katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Unguja na (kulia kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib, wakishiriki katika mazoezi ya pamoja ya viungo,baada ya kumaliza kwa Matembezi ya Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyoazia katika viwanja vya Forodhani Unguja na kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja leo.
Washiriki wa Matembezi ya Marathon Kilomita Tano na Kumi ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar wakishiriki katika mazoezi ya viungo ya pamoja katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo.
Msanii wa kizazi kipya Sultan King akiimbo wimbo maalum wa kupinga vita vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia Zanzibar,wakati wa Matembezi ya Marathon ya uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo.
Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation ambaye ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi akimvisha nishani mshindi wa kwanza wa Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar ya Kilomita 10 Wanaume, Aloice.S.Simbu kutoka JKU,kwa kumaliza mbio hizo kwa muda wa 29:36.69.
Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi zwadi ya fedha na nishani mshindi wa kwanza wa Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar ya Kilomita 10 Wanawake Velenti M.Lazaro kutoka JWTZ.
Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Mapinduzi Square katika hafla ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyoendana na Matembezi ya Marathon ya Kilomita 10 na 5, yaliyoazia katika viwanja vya Forodhani Mji Mkongwe Zanzibar na kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo.
Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Bi.Mwanaid Mohammed Ali, wakati akitembelea maonesho ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo, na (kushoto kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.
Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Afisa ya Kitengo cha Sema na Rais Mwinyi (SNR), Haji Makame, alipotembelea maonesho ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-2-2023, na (kushoto kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.
Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi wa Zanzibar School of Heath.Hassan Hussein Hassan, wakati akitembelea maonesho ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib.
Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa vitabu vya aina mbalimbali vinavozungumzia Haki za Binadamu na Mratibu Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania Bw. Onesmo, wakati akitembelea maonesho ya uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo.