NA DIRAMAKINI
SIKU moja baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kutoa ahadi ya kutoa shilingi milioni tano kwa kila goli litakalofungwa na timu za Simba na Yanga wakati wa michezo inayoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), ngazi ya klabu hatua ya makundi wikiendi hii,mtu anayejiita Mchungaji wa Taifa amesema,timu hizo kamwe haziwezi kutoboa kwa sababu zimelaaniwa.
Awali, Msemaji Mkuu wa Serikali,Gerson Msigwa aliwaeleza wahariri jijini Dar es Salaam kuwa, Mheshimiwa Rais Dkt.Samia ameahidi kufanya hivyo.
Simba itakutana na vinara wa Kundi C, Raja Casablanca katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi wiki hii, wakati siku inayofuata Yanga itacheza na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) katika Kombe la Shirikisho.

Kupitia video fupi ambayo ameirekodi, mtu huyo anayejiita Mchungaji wa Taifa amesema, "Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Februari 14, 2023 nikupongeze kwa namna ambavyo umeonesha mapenzi ya dhati kwenye timu zetu za Simba na Yanga, hongera sana kwa moyo huo kwa kuwapa motisha kila goli moja shilingi milioni tano.
"Mheshimiwa Rais naomba niseme machache, Simba na Yanga hata kama ungewaambia shilingi milioni 100 hawawezi kufanya vizuri, kwa sababu hii walinifanyia mambo yasiyopaswa wakamwambia uongo mungu wangu ambaye mwaka jana aliwatendea mema, lakini baada ya hapo hawakuwa wepesi kuja kutoa nadhiri zao.
"Kwa hiyo Simba na Yanga kwenye timing Kimataifa wameshalaaniwa. Ili waweze kufanya vizuri Mheshimiwa Rais nakuomba uwalipie deni, yaani itolewe sadaka ya kuweza kufuta makosa waliyoyatenda mbele za mungu wangu.

"Sadaka ya shilingi milioni 20 ni sadaka njema nikiikamata milioni 20 hiyo nitakwenda mbele za bwana mungu kuomba, nitainua mikono yangu nitafungua milango ya mbinguni na madirisha na nitaachilia ushindi kwa timu ya Simba na Yanga. Pasipo kupewa milioni 20 Simba na Yanga..."
Awali Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam ilimaliza mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya uliopigwa Uwanja wa Jenerali Lansana Conte nchini Guinea kwa kupoteza.
Aidha, watani zao Yanga SC ya jijini Dar es Salaam nao walichapwa na US Monastir ya nchini Tunisia pia.
Kwa Simba SC walikuwa na nafuu ya kufungwa bao moja kwa sufuri huku Yanga SC wakizidishiwa bao moja, hivyo kuondoka wakiwa wameinamisha vichwa chini kwa kuchapwa mabao mawili kwa sifuri.
Yanga kwenye mchezo huo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho barani Afrika walimenyana Februari 12, 2023 na US Monastir katika dimba la Olympic Rades.
Wanajangwani hao walionekana wakishindwa kumiliki mpira kwa muda mrefu, hivyo kuwapa nafasi US Monastir kucheza mpira kwa uhuru na kuweza kupata mabao mawili ya haraka katika kipindi cha kwanza cha mchezo.
Aidha, Yanga SC ilirudi kipindi cha pili kutafuta mabao bila mafanikio licha ya kuwapumzisha baadhi ya wacheaji na kuingiza igizo jipya.
Mabao ya US Monastir yaLIfungwa na nyota wao Mohamed Saghraoui dakika ya 10 ya mchezo na bao la pili likifungwa na Boubacar Traore dakika ya 16 na kufanya matokeo kuwa 2-0.
Februari 11, 2023 wenyeji Horoya dhidi ya Simba SC walipata bao dakika ya 18 kupitia kwa Pape Ndiaye kwa kichwa akimalizia mpira wa kona uliopigwa na Mohamed Wonkoye.
Baada ya bao hilo, Simba SC hawakupaniki bali walicheza kwa kutulia na kupiga pasi ndefu na mipira ya juu huku kasi yao ikiwa ya kawaida kipindi cha kwanza.
Mlinda mlango Aishi Manula alicheza mkwaju wa penati dakika ya 72 uliopigwa na Ndiaye baada ya mlinzi Joash Onyango kuunawa mpira ndani ya 18.
Dakika ya 79 nahodha John Bocco almanusura awapatie Simba SC bao la kusawazisha kufuatia mpira wake kutoka nje kidogo ya lango la Horoya baada ya kupokea pasi ya Kibu Denis.

WATUMISHI MBWA MWITU
ReplyDeleteAngalia onyo Mungu analowapa. Kweli wako wengi wanaojifanya kama mali ya Mungu katika kizazi hiki na kusingizia kwamba ni watumishi wa Mungu, ni watu wa Mungu, kwamba wanafahamu shauri la Mungu.
Mungu anawaonya, msiwafuate, kwa maana ni waongo na wadanganyifu, ni mbwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo, wametumwa kuteketeza nafsi za watu. Wakati wakitumia jina la Yesu, mioyo yao haipo naye na matunda yao ni machungu na maovu, na matunda yao ni machafu.
Matunda yao yameharibika, yanafanya mambo ya machukizo. Wana matendo yaliyooza, yanaonekana wazi. Wanatafuta kuteketeza wasio na hatia, wanatafuta kuteketeza wana-kondoo, wanatafuta kuteketeza wale wasiokesha na kumngojea Bwana.
Wengi wenu mmeteketezwa kwa sababu mmekuwa wavivu na baridi kwa Mungu, na kwa sababu mmekuwa wavivu na baridi, ni rahisi kwa mbwa mwitu kuwateketeza.
Ni rahisi kwenu kushindwa na kuchoshwa kwa maana mnaishi katika mawazo potofu na mnaishi katika kitanda cha starehe. Kitanda ambacho unakilalia mchana kutwa, mahali ambapo unafikiri kwamba hakuna cha kukudhuru wala kuja kwako wakati unauza nafsi yako kwa Shetani.
Ni kwa sababu hamjautunza upendo wenu wa kwanza kwa Mungu, lakini mnaonywa leo hii dhidi ya watumishi wa uwongo, na fungueni macho yenu na msikilizeni Mungu aliye Hai na muuone uovu wa saa hii na uchafu ambao unekuja juu ya nchi.
Haimfurahishi Mungu kuona watu wake wakiangamizwa, na haimfurahishi Mungu kuona watu wake wakiteketezwa, lakini wakati watu wake hawamsikilizi, wala kuwasikia watumishi wake wa kweli, wanazidiwa na kushindwa na wanaongozwa kama kondoo kwa mchinjaji na kuliwa siku nzima.
Lakini huo sio ukamilifu alio nao kwa ajili ya watu wake lakini ukamilifu ni kwamba watu wake wangemsikia Yeye na kutafuta shauri lake. Mapenzi yake ni kwamba watu wake wangelipiga magoti mbele zake na sio kutaka kupigia magoti uwongo, utupu, na kupagawa.
Kwa sababu ya uovu uliopo katika mioyo yao, watu wa Mungu ni rahisi kupotoshwa. Kwa maana hawajautafuta uso wa Mungu, wala hawajatafuta shauri lake, wala hawajazitafuta hukumu zake na viwango vyake.
Lakini wametafuta utajiri wa dunia hii. Wametafuta viwango vya Sodoma, wametafuta ufisadi wa Misri na kwasababu hivyo ndivyo vitu walivyovitamani, hivyo ndivyo vifuniko wanavyovipokea.
Kuna Sauli wengi sana walioinuka katika kizazi hiki, kwa sababu watu wa Mungu wametamani kufunikwa na udunia, watu wa Mungu wametamani njia za wapagani, na watu wake wametamani uchafu na machukizo.
Kwa sababu watu wa Mungu wamevitamani vitu hivyo, watumishi wa uwongo wameinuka, na kila mmoja anatangaza ni mali ya Mungu, na kila mmoja anatangaza kuwa ni wateule, ni wa kifalme, ni ukuhani uliotumwa.
Lakini ni waongo na wadanganyifu kwa maana ni matapeli na walaghai, wanacheza mchezo na kuwawekea mtego watu wa Mungu. Watu wa Mungu wasipotubu, hawatawekwa huru na vitu hivyo.
Kama mtatubu na kumsikiliza Mungu, na kuacha njia zenu mbaya, kama mtapiga magoti na kukiri dhambi zenu kwake, Mungu aliye Hai, atawasafisha na kuwatakasa. Aatawaleta katika kundi lake la waliokombolewa, kwa maana hali mlio nayo inahuzunisha.
Hali mlio nayo ni machukizo, kwa maana mnafanya vitu vile ambavyo ni vya kuudhi katika Roho wa Mungu, halafu mnajifanya kana kwamba hamjafanya chochote kibaya wala kiovu.
Lakini ukweli ni kwamba siku nzima mnavitamani na kutaka sana vitu ambavyo vitapita, vitu vya dunia, vitu ambavyo havina thamani kabisa.
Ni ukweli kwamba kila wakati mnaishi katika hofu na kuwapigia magoti watu waovu, na hamtampigia Mungu magoti, vitu hivyo ni uasi mbele za Mungu.
Mungu anakuambia kweli siku ya leo kwa sababu anatamani kukuona wewe umekombolewa na kwa sababu anatamani kukuona umetolewa katika mikono ya hao watesaji dini wakatili ambao wamewachukua ninyi utumwani.
Kuna maeneo mawili ambayo ni lazima mtubu. Ni lazima kutubu kwa uovu wako binafsi na machukizo uliyofanya mbele za Mungu.
Na kadhalika ni lazima kutubu kwa kuwapigia magoti waongo na wezi na watumishi wa uwongo ambao wametafuta tu kukukandamiza na kuteketeza nafsi yako.
Utakapofanya toba yako ya uhakika mbele za Mungu, Mungu atakukaribisha nyumbani.