NA MWANDISHI WETU
FEBRUARI 15, 2023 katika Kanisa la Anglikana Mtakatifu Tito kumetolewa mafundisho juu ya Mungu anahitaji nguvu yake iliyomo ndani ya huyo mtu ili aweze kuitendea kazi, hayo yamesemwa na mchungaji Ezeny Maganga katika ibada hiyo.

Mtumishi Ezely alifundisha Mambo ya kuzingatia ili kuwa na nguvu ya Mungu ndaniyako;kuomba kwa bidii Katika hili ukiangalia katika Biblia, Kufunga, Katika hili pia inatakiwa maandalizi au kuweka maagano na Mungu, Kusoma neno la Mungu na Utoaji wa SadakaIli kukamilisha ibada ni lazima iambatane na sadaka katika uaminifu.
“Sisi wenyewe yatupasa kuwa waaminifu kiroho na kibinadamu. Mfano; katika Simu, Muda na Matendo.”
Kwa kufanya hivyo hapo utakuwa umezingatia mambo muhimu na kadri utakapo tenda hayoyote utaona mabadiliko makubwa kiroho.