Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Husein Ali Mwinyi (katikati), Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt.Mohamed Said Dimwa (kushoto) Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali, Mhe.Lela Mohamed Mussa (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mhe.Matar Zahor Masoud (kulia) na Rais wa Chama cha Walimu Zanzibar, Maalim Seif Hamid Seif (wa pili kulia) kwa pamoja wakinyanyua mikono wakati wimbo wa mshikamano katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU) uliofanyika leo Ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi, Dkt.Husein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiufungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU) uliofanyila leo katixa ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba (kulia) ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Mhe.Lela Mohamed Mussa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Mhe.Dkt.Mohamed Said Dimwa.
Wakuu wa vyombo vya ulinzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Husein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Husein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.