Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Charlota Ozaki Macias, alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika Februari 13, 2023 katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Charlota Ozaki Macias (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Charlota Ozaki Macias, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.