Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Bw. Nathan Belete (kulia kwa Rais), mazungumzo hayo yalifanyika Februari 8, 2023 katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Bw. Nathan Belete, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.