Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 20, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.28 na kuuzwa kwa shilingi 18.43 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 20, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.76 na kuuzwa kwa shilingi 631.96 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.48 na kuuzwa kwa shilingi 148.78.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.60 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2298.22 na kuuzwa kwa shilingi 2321.2 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7492.88 na kuuzwa kwa shilingi 7565.35.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2741.08 na kuuzwa kwa shilingi 2769.19 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.15.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2440.48 na kuuzwa kwa shilingi 2465.35.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 218.06 na kuuzwa kwa shilingi 220.18 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.14 na kuuzwa kwa shilingi 127.36.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.03 na kuuzwa kwa shilingi 17.19 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 334.09 na kuuzwa kwa shilingi 337.24.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today February 20th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.757 631.963 628.86 20-Feb-23
2 ATS 147.4767 148.7835 148.1301 20-Feb-23
3 AUD 1566.6951 1583.5226 1575.1089 20-Feb-23
4 BEF 50.3058 50.751 50.5284 20-Feb-23
5 BIF 2.2004 2.217 2.2087 20-Feb-23
6 CAD 1698.7345 1715.0879 1706.9112 20-Feb-23
7 CHF 2464.3125 2488.6887 2476.5006 20-Feb-23
8 CNY 334.0919 337.2367 335.6643 20-Feb-23
9 DEM 920.871 1046.7644 983.8177 20-Feb-23
10 DKK 327.8298 331.0844 329.4571 20-Feb-23
11 ESP 12.1967 12.3043 12.2505 20-Feb-23
12 EUR 2440.4775 2465.3465 2452.912 20-Feb-23
13 FIM 341.306 344.3304 342.8182 20-Feb-23
14 FRF 309.3701 312.1067 310.7384 20-Feb-23
15 GBP 2741.0844 2769.1916 2755.138 20-Feb-23
16 HKD 292.9718 295.8978 294.4348 20-Feb-23
17 INR 27.7603 28.0193 27.8898 20-Feb-23
18 ITL 1.0481 1.0573 1.0527 20-Feb-23
19 JPY 17.0264 17.1903 17.1083 20-Feb-23
20 KES 18.2761 18.4295 18.3528 20-Feb-23
21 KRW 1.7644 1.7812 1.7728 20-Feb-23
22 KWD 7492.8854 7565.3478 7529.1166 20-Feb-23
23 MWK 2.0798 2.24 2.1599 20-Feb-23
24 MYR 518.785 523.5002 521.1426 20-Feb-23
25 MZM 35.6755 35.9765 35.826 20-Feb-23
26 NLG 920.871 929.0374 924.9542 20-Feb-23
27 NOK 221.7694 223.9006 222.835 20-Feb-23
28 NZD 1424.8951 1439.3761 1432.1356 20-Feb-23
29 PKR 8.3174 8.8258 8.5716 20-Feb-23
30 RWF 2.0963 2.1539 2.1251 20-Feb-23
31 SAR 612.7764 618.8382 615.8073 20-Feb-23
32 SDR 3071.5682 3102.2838 3086.926 20-Feb-23
33 SEK 218.0659 220.1818 219.1238 20-Feb-23
34 SGD 1715.0879 1731.8511 1723.4695 20-Feb-23
35 UGX 0.602 0.6316 0.6168 20-Feb-23
36 USD 2298.2178 2321.2 2309.7089 20-Feb-23
37 GOLD 4195419.6158 4237791.628 4216605.6219 20-Feb-23
38 ZAR 126.1419 127.3593 126.7506 20-Feb-23
39 ZMW 114.9109 119.3419 117.1264 20-Feb-23
40 ZWD 0.4301 0.4387 0.4344 20-Feb-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news