Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 28, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1543.59 na kuuzwa kwa shilingi 1559.26 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3051.79 na kuuzwa kwa shilingi 3082.31.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 28, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1689.99 na kuuzwa kwa shilingi 1706.76 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2444.57 na kuuzwa kwa shilingi 2468.23.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 219.58 na kuuzwa kwa shilingi 221.72 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 124.92 na kuuzwa kwa shilingi 126.11.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.87 na kuuzwa kwa shilingi 17.04 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 330.67 na kuuzwa kwa shilingi 333.86.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.09 na kuuzwa kwa shilingi 18.25 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.80 na kuuzwa kwa shilingi 632.01 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.49 na kuuzwa kwa shilingi 148.79.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2298.39 na kuuzwa kwa shilingi 2321.37 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7483.92 na kuuzwa kwa shilingi 7553.35.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2754.84 na kuuzwa kwa shilingi 2783.32 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.15.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2428.01 na kuuzwa kwa shilingi 2452.53.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today February 28th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Sarafu Kununua Kuuza Wastani Tarehe ya biashara
1 AED 625.8029 632.0093 628.9061 28-Feb-23
2 ATS 147.4875 148.7943 148.1409 28-Feb-23
3 AUD 1543.5961 1559.2642 1551.4302 28-Feb-23
4 BEF 50.3094 50.7548 50.5321 28-Feb-23
5 BIF 2.2006 2.2172 2.2089 28-Feb-23
6 CAD 1689.9898 1706.7642 1698.377 28-Feb-23
7 CHF 2444.5715 2468.2297 2456.4006 28-Feb-23
8 CNY 330.6697 333.8659 332.2678 28-Feb-23
9 DEM 920.9385 1046.841 983.8898 28-Feb-23
10 DKK 326.2158 329.45 327.8329 28-Feb-23
11 ESP 12.1976 12.3052 12.2514 28-Feb-23
12 EUR 2428.0152 2452.5274 2440.2713 28-Feb-23
13 FIM 341.331 344.3556 342.8433 28-Feb-23
14 FRF 309.3928 312.1296 310.7612 28-Feb-23
15 GBP 2754.8456 2783.3226 2769.0841 28-Feb-23
16 HKD 292.8888 295.8026 294.3457 28-Feb-23
17 INR 27.7831 28.0423 27.9127 28-Feb-23
18 ITL 1.0481 1.0574 1.0528 28-Feb-23
19 JPY 16.8739 17.0413 16.9576 28-Feb-23
20 KES 18.0975 18.2498 18.1737 28-Feb-23
21 KRW 1.7393 1.7561 1.7477 28-Feb-23
22 KWD 7483.9183 7553.3465 7518.6324 28-Feb-23
23 MWK 2.0892 2.2276 2.1584 28-Feb-23
24 MYR 513.4911 518.0473 515.7692 28-Feb-23
25 MZM 35.4142 35.7134 35.5638 28-Feb-23
26 NLG 920.9385 929.1055 925.022 28-Feb-23
27 NOK 221.5247 223.6689 222.5968 28-Feb-23
28 NZD 1412.5881 1427.6425 1420.1153 28-Feb-23
29 PKR 8.5375 8.9369 8.7372 28-Feb-23
30 RWF 2.0936 2.149 2.1213 28-Feb-23
31 SAR 612.4294 618.4548 615.4421 28-Feb-23
32 SDR 3051.7971 3082.3151 3067.0561 28-Feb-23
33 SEK 219.5799 221.7163 220.6481 28-Feb-23
34 SGD 1704.023 1720.4254 1712.2242 28-Feb-23
35 UGX 0.5935 0.6227 0.6081 28-Feb-23
36 USD 2298.3862 2321.37 2309.8781 28-Feb-23
37 GOLD 4166261.5696 4208875.947 4187568.7583 28-Feb-23
38 ZAR 124.9211 126.1121 125.5166 28-Feb-23
39 ZMW 112.8828 117.2409 115.0618 28-Feb-23
40 ZWD 0.4301 0.4387 0.4344 28-Feb-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news