Waziri Mhagama aongoza kikao kazi cha mkakati wa kuboresha mchakato wa ajira serikalini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (Meza kuu) akisisitiza jambo kwa Menejimenti ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakati wa kikao kazi chake na menejimenti hiyo kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Menejimenti ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma jijini Dodoma wakati wa kikao kazi chake na Menejimenti hiyo kilicholenga kuhimiza uwajibikaji.
Sehemu ya Watendaji wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (Hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na watendaji hao kilicholenga kuhimiza uwajibikaji.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Hassan Kitenge (Wakwanza kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na Menejimenti ya Sekretarieti ya Ajira kilichofanyika jijini Dodoma.
Naibu Katibu, Idara ya Ajira, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Lucas Mrumapili (katikati) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na Menejimenti ya Sekretarieti hiyo ya Ajira wa kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.
Naibu Katibu, Idara ya TEHAMA, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Mhandisi Samwel Tanguye (katikati) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na Menejimenti ya Sekretarieti hiyo ya Ajira wa kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news