Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, amekutana na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Mhe. Regine Hess, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu Dar es Salaam na kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo, hali ya uchumi na sekta ya fedha.(Picha na BoT).