Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imewasili mkoani Singida na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Peter Serukamba. Mkoani Singida, Kamati ya PIC itakagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji wa nishati vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA).(Picha na Bunge).