Katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Serikali imebuni Mradi wa Uwezeshaji na Uendelezaji wa vituo vidogo vya bidhaa za petroli kwa maeneo ya vijijini kwa njia ya mkopo nafuu.