"Kwa miaka mingi, Wanawake wa Vijijini wamekuwa na changamoto ya upatikanaji wa nishati safi ya kupikia.Nishati inayotumika kupikia Vijijini kwa kiasi kikubwa ni kuni, mkaa na kinyesi cha wanyama;
"Nishati hizo huathiri mazingira na afya ya watumiaji.Wakala wa Nishati Vijijini tumekuja na mkakati wa kusaidia Wanawake Vijijini kwa kuwaboreshea nishati ya kupikia,"Janet Mbene,Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB).
Tags
Habari
Nishati Safi ya Kupikia Vijijini
REA Tanzania
Siku ya Wazee Duniani
Wakala wa Nishati Vijijini
Wakala wa Nishati Vijijini (REA)