Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu yajivunia maafisa habari wanawake
"Ubunifu na mabadiliko ya teknolojia,chachu katika kuleta usawa wa kijinsia,"Bi.Nyamagory Kitwara,miongoni mwa maafisa habari mwanamke katika Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu.