Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu yajivunia kuwa na jeshi kubwa la wanawake
"Wanawake ni jeshi kubwa na ni wa thamani, kwa sababu tuna uwezo wa kufanya mambo makubwa. Tuendelee kumtegea Mungu, kujiamini na kujituma,"Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Mheshimiwa Ummy Nderiananga.