Rais Dkt.Mwinyi aongoza Mkutano wa Jukwaa la 12 la Biashara Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa SMIDA, Bw. Soud Said Ali wakati akitembelea maonesho ya Wafanyabiashara katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo, wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki jijini Zanzibar, kushoto kwa Rais ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman na kulia kwa Rais ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Plastic Technology Enterprises, Bw. Multala S.Juma, wakati akitembelea maonesho ya Wafanyabiashara Zanzibar, kabla ya kuongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo Machi 19, 2023 na kulia kwa Rais ni Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Mhe.Omar Said Shaban.
Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Zanzibar, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar uliyofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitoka katika ukumbi baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana lililofanyika leo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news