NA DIRAMAKINI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua, Mheshimiwa Jaji George Joseph Kazi kuwa Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria.
Hayo yamebainishwa Machi 22, 2023 kupitia taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi,Mhandisi Zena A.Said.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Mheshimiwa Jaji Gorge ni Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar na uteuzi wake unaanzia Machi 22, 2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi.