Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Dkt.Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023.(Picha na Ikulu).