Miaka miwili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) sasa kijijini kumekuwa ni kama mjini.Ni kutokana na Serikali kuwezesha na kutekeleza miradi mbalimbali ya nishati ambayo imefika hadi kitongoji kwa kitongoji na visiwa vyote.