NA DIRAMAKINI
KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetupilia mbali shauri la mapitio (review) katika kesi ya kimkataba kati ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ dhidi ya klabu ya Yanga mara baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili.
Amany
ReplyDelete