"Kifungu cha 3 (2) sheria za ardhi namba 4 na 5 kinaainisha kwamba haki ya kila mwanamke kupata, kumiliki, kutumia na kuuza au kuigawa ardhi ni sawa na haki ya mwanaume yeyote kwa viwango vile vile na mashariti yale yale,"Mheshimiwa Dkt.Angeline Mabula, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.