"Wanawake wenzangu, tusimwangushe Mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambaye ametuamini na kutufungulia fursa nyingi katika nyanja mbalimbali ikiwemo Sekta ya Nishati Vijijini. Tupambane tunaweza,"Veronica Simba, Meneja Uhusiano kwa Umma wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA);