Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Machi 21, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1539.82 na kuuzwa kwa shilingi 1555.68 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3068.60 na kuuzwa kwa shilingi 3099.29.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 21, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2299.27 na kuuzwa kwa shilingi 2322.26 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7503.16 na kuuzwa kwa shilingi 7573.99.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2812.23 na kuuzwa kwa shilingi 2841.28 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.14.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 626.06 na kuuzwa kwa shilingi 632.27 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.54 na kuuzwa kwa shilingi 148.85.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2462.97 na kuuzwa kwa shilingi 2488.53.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1678.91 na kuuzwa kwa shilingi 1695.20 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2484.08 na kuuzwa kwa shilingi 2507.84.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.66 na kuuzwa kwa shilingi 17.81 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.64 na kuuzwa kwa shilingi 222.79 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 124.69 na kuuzwa kwa shilingi 125.91.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.54 na kuuzwa kwa shilingi 17.71 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 334.22 na kuuzwa kwa shilingi 337.49.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today March 21st, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 626.0598 632.2688 629.1643 21-Mar-23
2 ATS 147.544 148.8514 148.1977 21-Mar-23
3 AUD 1539.8193 1555.682 1547.7507 21-Mar-23
4 BEF 50.3287 50.7742 50.5515 21-Mar-23
5 BIF 2.2014 2.218 2.2097 21-Mar-23
6 BWP 173.1348 175.3306 174.2327 21-Mar-23
7 CAD 1678.9101 1695.204 1687.057 21-Mar-23
8 CHF 2484.0831 2507.8402 2495.9616 21-Mar-23
9 CNY 334.2201 337.4985 335.8593 21-Mar-23
10 CUC 38.3871 43.6351 41.0111 21-Mar-23
11 DEM 921.2916 1047.2424 984.267 21-Mar-23
12 DKK 330.906 334.1862 332.5461 21-Mar-23
13 DZD 18.1516 18.2606 18.2061 21-Mar-23
14 ESP 12.2022 12.3099 12.2561 21-Mar-23
15 EUR 2462.9752 2488.5338 2475.7545 21-Mar-23
16 FIM 341.4618 344.4876 342.9747 21-Mar-23
17 FRF 309.5114 312.2492 310.8803 21-Mar-23
18 GBP 2812.2339 2841.2851 2826.7595 21-Mar-23
19 HKD 293.2178 296.1386 294.6782 21-Mar-23
20 INR 27.8544 28.1142 27.9843 21-Mar-23
21 IQD 0.2122 0.2138 0.213 21-Mar-23
22 IRR 0.0081 0.0082 0.0082 21-Mar-23
23 ITL 1.0485 1.0578 1.0532 21-Mar-23
24 JPY 17.5396 17.711 17.6253 21-Mar-23
25 KES 17.6595 17.8087 17.7341 21-Mar-23
26 KRW 1.757 1.774 1.7655 21-Mar-23
27 KWD 7503.1567 7573.9865 7538.5716 21-Mar-23
28 MWK 2.0809 2.241 2.1609 21-Mar-23
29 MYR 512.8859 517.3223 515.1041 21-Mar-23
30 MZM 35.4278 35.7271 35.5775 21-Mar-23
31 NAD 91.0669 91.9159 91.4914 21-Mar-23
32 NLG 921.2916 929.4617 925.3766 21-Mar-23
33 NOK 215.8288 217.9175 216.8732 21-Mar-23
34 NZD 1436.5822 1451.1803 1443.8812 21-Mar-23
35 PKR 7.7672 8.2186 7.9929 21-Mar-23
36 QAR 768.3489 776.0742 772.2115 21-Mar-23
37 RWF 2.0834 2.1455 2.1144 21-Mar-23
38 SAR 612.0607 618.0826 615.0717 21-Mar-23
39 SDR 3068.6022 3099.2882 3083.9452 21-Mar-23
40 SEK 220.6442 222.7865 221.7154 21-Mar-23
41 SGD 1716.3835 1733.2886 1724.836 21-Mar-23
42 TRY 120.9345 122.0796 121.5071 21-Mar-23
43 UGX 0.588 0.616 0.602 21-Mar-23
44 USD 2299.2673 2322.26 2310.7637 21-Mar-23
45 GOLD 4566068.9988 4612287.0312 4589178.015 21-Mar-23
46 ZAR 124.6925 125.9107 125.3016 21-Mar-23
47 ZMK 108.2665 112.4581 110.3623 21-Mar-23
48 ZWD 0.4303 0.439 0.4346 21-Mar-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news