Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Machi 28, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2819.29 na kuuzwa kwa shilingi 2848.41 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.13.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 28, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 626.25 na kuuzwa kwa shilingi 632.34 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.56 na kuuzwa kwa shilingi 148.87.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2478.03 na kuuzwa kwa shilingi 2503.74.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1677.92 na kuuzwa kwa shilingi 1694.08 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2508.82 na kuuzwa kwa shilingi 2532.80.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.49 na kuuzwa kwa shilingi 17.63 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.99 na kuuzwa kwa shilingi 223.15 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 125.65 na kuuzwa kwa shilingi 126.87.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.48 na kuuzwa kwa shilingi 17.65 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 334.15 na kuuzwa kwa shilingi 337.46.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1528.07 na kuuzwa kwa shilingi 1544.51 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3085.12 na kuuzwa kwa shilingi 3115.97.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2299.58 na kuuzwa kwa shilingi 2322.58 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7504.19 na kuuzwa kwa shilingi 7576.76.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today March 28th, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 626.2484 632.3386 629.2935 28-Mar-23
2 ATS 147.5643 148.8719 148.2181 28-Mar-23
3 AUD 1528.0737 1544.5157 1536.2947 28-Mar-23
4 BEF 50.3356 50.7812 50.5584 28-Mar-23
5 BIF 2.2017 2.2183 2.21 28-Mar-23
6 CAD 1677.9162 1694.0774 1685.9968 28-Mar-23
7 CHF 2508.8198 2532.8026 2520.8112 28-Mar-23
8 CNY 334.1545 337.4617 335.8081 28-Mar-23
9 DEM 921.4185 1047.3867 984.4026 28-Mar-23
10 DKK 332.6464 335.9388 334.2926 28-Mar-23
11 ESP 12.2039 12.3116 12.2578 28-Mar-23
12 EUR 2478.0319 2503.7413 2490.8866 28-Mar-23
13 FIM 341.5089 344.5351 343.022 28-Mar-23
14 FRF 309.5541 312.2923 310.9232 28-Mar-23
15 GBP 2819.2901 2848.4121 2833.8511 28-Mar-23
16 HKD 292.9481 295.8739 294.411 28-Mar-23
17 INR 27.9473 28.2079 28.0776 28-Mar-23
18 ITL 1.0487 1.058 1.0533 28-Mar-23
19 JPY 17.4807 17.6542 17.5674 28-Mar-23
20 KES 17.4873 17.6354 17.5614 28-Mar-23
21 KRW 1.7702 1.7868 1.7785 28-Mar-23
22 KWD 7504.1906 7576.76 7540.4753 28-Mar-23
23 MWK 2.0903 2.2287 2.1595 28-Mar-23
24 MYR 520.3857 524.9955 522.6906 28-Mar-23
25 MZM 35.4328 35.732 35.5824 28-Mar-23
26 NLG 921.4185 929.5898 925.5041 28-Mar-23
27 NOK 218.6103 220.7251 219.6677 28-Mar-23
28 NZD 1423.2126 1438.3738 1430.7932 28-Mar-23
29 PKR 7.7195 8.1925 7.956 28-Mar-23
30 RWF 2.076 2.1322 2.1041 28-Mar-23
31 SAR 612.3569 618.3159 615.3364 28-Mar-23
32 SDR 3085.1221 3115.9733 3100.5477 28-Mar-23
33 SEK 220.9906 223.1491 222.0698 28-Mar-23
34 SGD 1726.1554 1743.1552 1734.6553 28-Mar-23
35 UGX 0.586 0.6144 0.6002 28-Mar-23
36 USD 2299.5842 2322.58 2311.0821 28-Mar-23
37 GOLD 4496836.8218 4543430.996 4520133.9089 28-Mar-23
38 ZAR 125.6549 126.8719 126.2634 28-Mar-23
39 ZMW 105.4656 109.5557 107.5106 28-Mar-23
40 ZWD 0.4304 0.439 0.4347 28-Mar-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news