Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Machi 9, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2298.74 na kuuzwa kwa shilingi 2321.73 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7479.23 na kuuzwa kwa shilingi 7551.57.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 9, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2721.94 na kuuzwa kwa shilingi 2749.39 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.15.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1672.29 na kuuzwa kwa shilingi 1688.53 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2438.21 na kuuzwa kwa shilingi 2462.33.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 214.32 na kuuzwa kwa shilingi 216.42 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 123.71 na kuuzwa kwa shilingi 124.91.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.75 na kuuzwa kwa shilingi 16.91 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 330.21 na kuuzwa kwa shilingi 333.44.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1517.4 na kuuzwa kwa shilingi 1532.81 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3058.71 na kuuzwa kwa shilingi 3089.29.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.92 na kuuzwa kwa shilingi 18.07 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.27.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.92 na kuuzwa kwa shilingi 632.14 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.51 na kuuzwa kwa shilingi 148.82.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2422.64 na kuuzwa kwa shilingi 2447.10.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today March 9th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.9169 632.1417 629.0293 09-Mar-23
2 ATS 147.5104 148.8174 148.1639 09-Mar-23
3 AUD 1517.4 1532.8062 1525.1031 09-Mar-23
4 BEF 50.3172 50.7626 50.5399 09-Mar-23
5 BIF 2.2009 2.2175 2.2092 09-Mar-23
6 CAD 1672.2993 1688.5309 1680.4151 09-Mar-23
7 CHF 2438.208 2462.329 2450.2685 09-Mar-23
8 CNY 330.208 333.4382 331.8231 09-Mar-23
9 DEM 921.0813 1047.0034 984.0423 09-Mar-23
10 DKK 325.5594 328.7964 327.1779 09-Mar-23
11 ESP 12.1995 12.3071 12.2533 09-Mar-23
12 EUR 2422.6448 2447.1034 2434.8741 09-Mar-23
13 FIM 341.3838 344.409 342.8964 09-Mar-23
14 FRF 309.4408 312.178 310.8094 09-Mar-23
15 GBP 2721.9411 2749.3927 2735.6669 09-Mar-23
16 HKD 292.8372 295.7618 294.2995 09-Mar-23
17 INR 28.0454 28.3068 28.1761 09-Mar-23
18 ITL 1.0483 1.0576 1.0529 09-Mar-23
19 JPY 16.7461 16.9099 16.828 09-Mar-23
20 KES 17.9169 18.0679 17.9924 09-Mar-23
21 KRW 1.7436 1.7602 1.7519 09-Mar-23
22 KWD 7479.234 7551.5694 7515.4017 09-Mar-23
23 MWK 2.0948 2.266 2.1804 09-Mar-23
24 MYR 508.234 512.7496 510.4918 09-Mar-23
25 MZM 35.4197 35.7189 35.5693 09-Mar-23
26 NLG 921.0813 929.2496 925.1654 09-Mar-23
27 NOK 215.6642 217.7472 216.7057 09-Mar-23
28 NZD 1406.3707 1420.6665 1413.5186 09-Mar-23
29 PKR 7.8343 8.3141 8.0742 09-Mar-23
30 RWF 2.0907 2.1487 2.1197 09-Mar-23
31 SAR 612.3449 618.3859 615.3654 09-Mar-23
32 SDR 3058.7069 3089.2939 3074.0004 09-Mar-23
33 SEK 214.325 216.4178 215.3714 09-Mar-23
34 SGD 1698.4946 1714.846 1706.6703 09-Mar-23
35 UGX 0.5963 0.6256 0.611 09-Mar-23
36 USD 2298.7426 2321.73 2310.2363 09-Mar-23
37 GOLD 4171436.1999 4213545.2559 4192490.7279 09-Mar-23
38 ZAR 123.7107 124.9075 124.3091 09-Mar-23
39 ZMW 110.6591 114.9371 112.7981 09-Mar-23
40 ZWD 0.4302 0.4388 0.4345 09-Mar-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news