NA MWANDISHI WETU
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene amesema wananchi waliotoka katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa hiari na kuja kuishi katika Kijiji cha Msomera, sasa wana uwezo wa kumiliki ardhi na makazi.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (kulia) akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uaratibu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene (katikati) akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Abubakari Kunenge.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshuhulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongela.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akizungumza jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Kauli hiyo ameitoa wakati akimkaribisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa katika ziara maalumu ya kukabidhi mradi wa uendelezaji wa kijiji cha Msomera kwa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni.