Dua ya kumuombea hayati Rais Sheikh Idriss Abdulwakil yafanyika

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Masoud Ali Mohamed (katikati) akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kusini, Rashid Hadidi Rashid na wanafamilia na wananchi mbalimbali katika Dua ya kumuombea Aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Nne, marehemu Sheikh Idriss Abdulwakil,dua iliongozwa na Sheikh Said Mohamed Said (wa kwanza kushoto) Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi viongozi wa Kitaifa Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini, Rashid Hadid Rashid akitoa maelezo na kumkaribisha mgeni rasmi katika hafla ya kumuombea dua aliyekua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Nne, marehemu Sheikh Idriss Abdulwakil, Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Masoud Ali Mohamed(katikati)akitoa salamu za Serikali katika hafla ya kumuombea Dua Aliekua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Nne Marehemu Sheikh Idriss Abdulwakil, Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa Zanzibar.Mwakilishi wa Familia akitoa maelezo ya shukurani kwa Serikali katika hafla ya kumuombea dua aliyekua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Nne, marehemu Sheikh Idriss Abdulwakil, Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi viongozi wa Kitaifa Zanzibar.(PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news