LEO Aprili 17, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akishuhudia Utiaji Saini wa Mikataba ya Makubaliano ( Framework Agreements) Kati ya Serikali na Kampuni tatu za Madini kutoka Perth nchini Australia.
Matangazo haya yanakujia moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma;