Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imetekeleza miradi ya nishati ya kupikia ili kuondokana na uharibifu wa mazingira, athari za kiafya pamoja na kujenga mazingira bora ya kupika kwa jamii ili akina mama waweze kushiriki kwenye shughuli za kijamii.