NA MWANDISHI WETU
NABII Mkuu Mhe.Dkt.GeorDavie amewataka watu wajifunze kupambanua nyakati katika maisha yao jambo litakalowasaidia kufanya mambo ya muhimu kwa wakati na kuwafanikisha kimaisha.

Nabii Mkuu ameyasema hayo wakati alipokuwa akifundisha katika ibada ya kuzaliwa upya maeneo yote iliyofanyika chuo kikuu cha maanbii kisongo jijini Arusha ibada iliyoambatana na sherehe ya kukumbuka kuzaliwa kwa Nabii Mkuu Mhe.Dkt.GeorDavie.
Akifundisha amesema kuwa, kila mtu anaposheherekea ongezeko la mwaka mmoja maishani anapaswa kujua pia majukumu yanabadilika kulingana na nyakati.
Aidha, sherehe hiyo ya kukumbuka kuzaliwa kwa Nabii Mkuu Mhe.Dkt.GeorDavie ilihudhuriwa na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi wakiwemo watumishi wa Mungu, viongozi wa serikali akiwemo Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mhe.Mrisho Gambo, wasanii na waigizaji mbalimbali.