Nimemfumania mume wangu na rafiki yangu tena katika kitanda changu

NA MWANDISHI WETU

WASWAHILI hawakukosea kusema kikulacho kiko nguoni mwako, nasema hivyo kutokana na tukio lilonikuta maishani mwangu, kamwe siwezi kusahau na itakuwa ni vigumu sana kwa mimi kuja kumwamini sana rafiki yangu tena wa kike.

Jina langu ni Mama Sadiki, mwishoni mwa mwaka jana nilikutana na tukio moja kubwa la kushangaza maishani mwangu, nalo ni kumfumania mume wangu na rafiki yangu wakifanya yao tena kwenye kitanda changu.

Nasema ni tukio la kushangaza kwa sababu huyu rafiki yangu alikuwa ni mtu wangu wa karibu sana, kila wakati alifika nyumbani kwangu na kumsalimia mume wangu kwa heshima kama Shemeji yake wala usingedhania wanaweza kufanya kitendo kama hicho.

Hata hivyo, mume wangu kwa miaka mingi najua kuwa amekuwa na michepuko nje ya ndoa yetu ila sikudhania kuwa anaweza hata kummezea mate rafiki yangu tena wa karibu kiasi hicho.

Ila kilichotokea ni matokeo ya kwenda kwa Dr. Kiwanga na kumuomba anifanyie dawa ya kumfunga mume wangu asiweze kuwa na michepuko au mpango wa kando katika ndoa yetu maana nilichoshwa na visa vya usaliti katika ndoa.

Basi ilikuwa ni wiki tatu zimepita tangu nitoke kwa Dr. Kiwanga ndipo nikaweza kumfumania mume wangu, ni wazi kuwa dawa zile ndizo ziliweza kuleta matunda hayo, pengine bila hivyo nisingeza kuwashika.

Mume wangu aliomba msamaha sana, nilipomuulza ni mara ngapi wamekuwa wakifanya hivyo, aliniambia hiyo ilikuwa ni zaidi ya mara 10, hivyo nikajua ulikuwa ni mchezo wao wa siku nyingi ila Dr. Kiwanga kanisaidia kumkamata adui yangu.

Kumbuka Dr. Kiwanga ana uwezo wa kukuwezesha kuwa mtu wa bahati maishani, ana uwezo wa kukukinga kutokana na adui zako wanaokutakia mabaya kwa wakati wowote ule na kwa muda wa siku tatu utaona matokeo yake. Kwa mengi zaidi wasiliana naye kupitiasimu +254 769404965 utapata usaidizi wa haraka.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news