Msanii wa BongoFleva, Whozu akiwa na mpenzi wake Wema Sepetu, mavazi waliyovalia yamekuwa kivutio zaidi kwa mashabiki wao huku wakiwapongeza ikiwa ni mwendelezo wa shamrashamra za sherehe za Eid El Fitr, baada ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutamatika Aprili 22, 2023. Penzi la wawili hao limeendelea kuwa kivutio zaidi kutokana na mahaba wanayooneshana kila siku. (Picha na Wemasepetu Instargram).