Rais Alhaj Dkt.Mwinyi ajumuika na wananchi katika sala ya Ijumaa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na viongozi wakati alipowasili katika Masjid Almarhum Mohamed Bin Dhahir Bububu Wilaya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi na waumini mbalimbali wa eneo hilo katika ibada ya sala ya Ijumaa leo Aprili 28,2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Waumini katika Masjid Almarhum Mohamed Bin Dhahir Bububu Wilaya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi (hawapo pichani) mara baada ya ibada ya sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa nasaha zake leo katika Masjid Almarhum Mohamed Bin Dhahir Bububu Wilaya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi baada ya sala ya Ijumaa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) pamoja na viongozi wengine na waumini katika Masjid Almarhum Mohamed Bin Dhahir Bububu Wilaya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (katikati) baada ya ibada ya sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akiagana na Sheikh Mohamed Said baada ya ibada ya sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Almarhum Mohamed Bin Dhahir Bububu Wilaya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi (kulia)Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiagana na Sheikh Abdulkarim Said Abdalla aliyosoma khutba ya sala ya Ijumaa baada ya ibada hiyo leo katika Masjid Almarhum Mohamed Bin Dhahir Bububu Wilaya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi pamoja na viongozi wengine.(Picha na Ikulu). 

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news