Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Tuzo maalumu ijulikanayo kama VIP Global Water Changemakers Awards kutokana na jitihada zake za kuifanya Zanzibar kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuanzisha na kuzindua programu ya uwekezaji katika sekta ya maji.
Tuzo hiyo imetolewa wakati wa mkutano wa maji wa Umoja wa Mataifa uliofanyika Machi 22, 2023 jijini New York, Marekani.
Tuzo hiyo ya Kimataifa ya Mabadiliko ya Sekta ya Maji atakabidhiwa rasmi, Rais Dkt.Mwinyi kesho Aprili 5, 2023, saa 3 asubuhi.