Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na wageni mbalimbali waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni Aprili 27, 2023 alichomuandalia mgeni wake Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame, Ikulu jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu).
Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame akizungumza na wageni mbalimbali waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni alichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akiwasalimia viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni alichoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt.Hussein Ali Mwinyi kwenye hafla ya chakula cha jioni alichoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam.Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Viongozi wa dini na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu jijini Dar es Salaam.