Rais Dkt.Samia aungana na wananchi kuswali Sala ya Eid El-Fitri katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri leo Aprili 22, 2023.(Picha na Ikulu).