Salamu za heri ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kutoka taasisi, wizara, mashirika, idara na wadau mbalimbali
DIRAMAKINI INAWATAKIA WATANZANIA WOTE HERI YA MIAKA 59 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR,TUENDELEE KUDUMISHA AMANI, UMOJA, UPENDO NA MSHIKAMANO KWA USTAWI BORA WA TAIFA LETU PENDWA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA