Salamu za Pasaka 2023 kutoka kwa taasisi, wizara, mashirika na wadau mbalimbali nchini
UONGOZI WA DIRAMAKINI UNAWATAKIWA WATANZANIA WOTE HERI YA SIKUKUU YA PASAKA,WITO WETU NI KILA MMOJA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI, UPENDO, MSHIKAMANO ILI KUENDELEA KULIFANYA TAIFA LETU KUANZIA BARA NA VISIWANI KUWA TULIVU KWA MUSTAKABALI MWEMA WA MAISHA YETU NA USTAWI BORA WA TAIFA LETU KILA NYANJA.