Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amepokea kitabu kutoka Eastern and Southern African Universities Research Programme (ESAURP) kilichowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ESAURP, Ndg. Ruta Mutakyahwa leo Aprili 12, 2023 ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Bunge).